Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Daah umejua kunipoteza aise10.
Huyu ni msakata soka mkubwa.
Ukitaja jina lake utajipatia tiketi kwenda kushuhudia fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar View attachment 1654674
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inaonekana u mshabiki mzuri sana wa mpira eeh!? Mimi hapo ni Ronaldinho tu na Pogba ndo ningeambulia kitu. Na wenyewe nimewajulia hapa hapa kwenye uzi
Mwaga like upate likes,Like zimekua adimu wanazengo
[emoji818][emoji818][emoji818]Cristiano Ronaldo Dos Santos Aveiro!
Teh teh teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji123]Usiku wa vilio (vya kujitakia)
View attachment 1654693
Kamua kwa uwezo.Kujipa siteresi na presha za bure [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1654694
[emoji818]Neymar Da Silva Santos Junior!
[emoji1787][emoji1787]Wazee wanakula tunda kimasihara
[emoji23][emoji23]We mwenyewe likes zako mi wala huwa sizioni [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ndiye[emoji818]Huyu sijamjua
Ni Robert Lewandowski nini
IniestaDuuh
Hapa ndiyo nimepotea kabisa aise
Bundle linakuhusu[emoji23][emoji23]Lionel Andres Messi Cuccittini!!
The G.O.A.T [emoji7][emoji7]
[emoji818]Neymar Jr
[emoji482][emoji482][emoji124]
Seirgio AgueroHuyu Robin Van Persie au ??
Mario MandzukicDuuh hapa nimepotea aisee
Cesc FabregasDaah umejua kunipoteza aise
Kwahiyo ndiyo nimekosa ticket hivi hivi