Toyota hapa walitoa chuma chakiume kabisa hiki unaweza kwenda nacho barabara yoyote ile. Kilimo kwanza ambacho kipo kwenye muonekano wakibaba sana. Unaweza ukafunga Jembe nakulima heka. Huwezi kumuona mtt wakike akapushi hi chuma.
www.jamiiforums.com
Hi ndo gari yakiume Toyota hapa walifanikiwa Sana 2007 Hadi 2010