moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Marashi nipakeee...Pemba ooh Pembaaaa......Karibuni Pemba, kisiwa cha ujamaa
mzee wangu umetisha sana. huku ukifanya masihara utakula kila nyumbaMarashi nipakeee...Pemba ooh Pembaaaa......
Wala sitabaki naenda Pemba ndege inaruka.....
Nasikia ni kuzuri....
Najioni kuna upepo...
Upepo inanukia....
Marashi ya karafuuu.....