D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Walitunyanyasa mara mbili hao majamaaDida,Paul Maldini, Jaap Stam, Nesta, Cafu, Gattuso.
Pirlo, Seedolrf, Kaka, Costacurta, Kaka Kalandze, Shevchenko.
2002-2007 wakiwa kwenye moto, chini ya Carlo Ancelotti
Anguko lao lilisababishwa na zile tuhuma za rushwa zilizoikumba ligi ya serie A.Walitunyanyasa mara mbili hao majamaa
====
anguko lao lilitokana na ukosefu wa phase mbadala ya kikosi walichokuwa nacho
yote hayo pia nakubaliana nayo, ukiyajumlisha na hoja yangu ya kukosekana kikosi mbadala (vijana) kitakachorithi nafasi ya wakongwe kama vile seedoff, maldini, nesta, cafu n.kAnguko lao lilisababishwa na zile tuhuma za rushwa zilizoikumba ligi ya serie A.
Pia anguko la kisiasa, kisheria na kibiashara lililomkuta mmiliki wa timu hiyo Silivio Berlusconi lilipelekea kulega lega kwa timu hiyo.