Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Inapendeza kaka, tumshukuru Muumba kama wote ni wazima na tuendelee kumuomba atujalie afya tele tuweze kuuona mwaka ujao tukiwa ni wenye aman, furaha upendo na afya thabiti pia!!Kwema, Alhamdulillah
Poleni wakulima wote...