moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kunguru wa chato
View attachment 1670271
Yanga kwani mna nini?View attachment 1671152
Unanifurahisha 😂😂 ndio nikawa najiuliza kunguru wa chato wapoje uzuri umeshanijibu 😂😂Kgothalo unacheka nini? 😂😂😂 Kunguru wa chato hakawii kuzima umeme watu wakae gizani 🤣🤣🤣 kwa ufupi hapendi kuona wabongo wana furaha lazima atatafuta namna ya kuwadokoa dokoa, kuruka huku na kule na kuanza kutoa mlio wake wa kuudhi ili tu kuwaudhi wabongo 🤣🤣🤣🤣
Unanifurahisha 😂😂 ndio nikawa najiuliza kunguru wa chato wapoje uzuri umeshanijibu 😂😂
[emoji16][emoji16]duh huyu jamaa anaweza kutafuna chuma!!Yanga kwani mna nini?View attachment 1671152