myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMichelle na Barack wakilana denda mbele ya kadamnasi.View attachment 1676796
mimi nipo zangu na pumziko la milele
wakorea nimewachoka
nimekuwachia mwanafunzi wangu The Happiness
Umefika season ya ngapi? Season ya kwanza hadi ya pili, imepoa sana, inaweza kukuboa, inakuja kuchangamka season 3..ya 4 na 5 ni balaa aisee
Ngumu sana kwako mzee wa sembe. Unavyowafahamu wahusika mpaka mashuka yao,unapumzika kwa muda tu utarudi kwa spidi kubwaamimi nipo zangu na pumziko la milele
wakorea nimewachoka
nimekuwachia mwanafunzi wangu The Happiness
Sijui nijeko au nibakie kwa mzee wa sembe miksa urojoNiko season 3 Episode za mwanzoni kabisa,ngoja niendelee kuifaidi
Njoo huku uchangamshe damu๐Sijui nijeko au nibakie kwa mzee wa sembe miksa urojo
Njoo huku uchangamshe damu๐
๐โโ๏ธHaaa, antii.!!! Nikimmis King nahamia korean, niliie๐Damu imechangamka bana labda maji tunayoongezewa kene dripu๐๐๐๐๐๐
๐โโ๏ธHaaa, antii.!!! Nikimmis King nahamia korean, niliie๐
WLEXT NET nimeona huku ila sasa ngumu kuvutika
Nami namwambiadavet kaniambia nikuchagulie wimbo huu
No more drama
I gave you enough chances
Time is over
I canโt do it anymore
Non-fiction drama
My aura is turning dark
Seeing you slowly fade more
Iโm exhausted
No more drama
No more drama
No more drama
Time is over
Unataka uanze na waturuki tena? Mi sjawahi wafatiliagaWLEXT NET nimeona huku ila sasa ngumu kuvutika
Ndio Mimi mpendwahili neno mpendwa linanikumbusha mbali sana....kwa ufupi nimemkumbuka Hawachi.
sijui yupo wapi na anaendeleaje na maisha yake.
au ndio wewe?
[emoji2]Hapo nimeona Ozark tena episode kama mbili tu [emoji2]
Ahsante sana nitaanza na hizi kesho kupakua.
Miaka mi5 sio mchezomkopo wangu ni wa zanzibar ila nina mdogo wangu ana mkopo wa bara na alisomea afya kwa miaka 5
Enjoy TH!Niko season 3 Episode za mwanzoni kabisa,ngoja niendelee kuifaidi