Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
wataje wajirekebishe... apa tuna weka comments zen tunarudisha majeshi ya like...Unakuta mtu kaandika herufi tu
Zinapatikana bure
Kabisa mzee, watu wanachafua hali ya hewaHata kama ni likes, bora hata unaandika kitu kinachosomeka mkuu.
Ili angalau tulike vizuri.
Jipu ni huyo mwajirikodi elfu 50 kulipa miezi 6
vocha....30000 per month
club buudget per month..140,000
kula ...150,0000
mshaara laki 2 na 50 huyu mtu si ni jipu.....