TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
So sad mwendo wa kuteseka tu, nina ka ofa ka voda 2.5 gb kwa buku night. Nilitaka kuhamia airtel ila nilipo net ya kobe,ttcl nao wale wale.hasira zao dhidi ya DPP wameamua kuzimalizia kwetu sisi walinzi wa usiku.
ni bora wangelipandisha bei ya kifurushi lakini huduma ikaendelea kuwa unlimited.
=========
sasa umekuja na mpango gani?