Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Zahera ndiyo nani?
Mi simjui Zahera wala hatuna mpango na Zahera, maana hajawahi kuomba kazi Simba.
Katika kuimarisha benchi letu la ufundi mpaka sasa tumeshampa mkataba kocha mkuu na kocha wa makipa.
Tunamtafuta kocha mwingine ili kuimairisha eneo hilo la ufundi": Barbara
 
China yatunga sheria inayochochea mauji.

Dereva akigonga mtembea kwa miguu au mwendesha baiskeli atalazimika kumpa matibabu na hela kujikimu maisha yake yote.
Lakini dereva akimkonga mtu na akafariki atalipa mara moja hela isiyozidi laki 2.
Wananchi wanaitilia shaka sheria hiyo kuwa itawashawishi madereva kuwagonga wapita njia mara kadhaa ili kuwaua kuepuka dhahama ya kuwahudumia
 
Mzee Kissinger.
Mzee huyu anaishi mtaa wa Congo Dsm.
Mzee Kissinger anasemekana ndiye gwiji aliye hai mpaka sasa ambaye anaijua vema historia ya jiji la Dar es salaam.
Historia ya uhuru na maveterani wa uhuru.
Mtembelee mtaa wa Congo ukapate madini
 
Ligi ya soka ya Tanzania VPL imetajwa kuwa ni ligi namba 8 kwa ubora barani Afrika na ni namba 71 kwa ubora Duniani.
Kwa mujibu wa shirikisho la kimataifa la historia na Takwimu IFFHS.

Millardayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…