moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AiseeMzee Kissinger.
Mzee huyu anaishi mtaa wa Congo Dsm.
Mzee Kissinger anasemekana ndiye gwiji aliye hai mpaka sasa ambaye anaijua vema historia ya jiji la Dar es salaam.
Historia ya uhuru na maveterani wa uhuru.
Mtembelee mtaa wa Congo ukapate madiniView attachment 1686855
Hongera sanaHome of onionView attachment 1686985
Nashukuru mkuu. Nawe pia.Ahante sana Chief! Uwe na wakati mzuri mahali uko.