moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hijja kwa woteView attachment 1690214
Mitihani ni changamoto za maishaMitihani kila panapokucha...
Mmmmh, mbona Mombasa wanazaa bila kujali jinsiaMwanamke toleo la pili ktk ubora wake. View attachment 1690180
Sasa kawasaidie hawa wahusika kuhusu kero yao hiyo.Mmmmh, mbona Mombasa wanazaa bila kujali jinsia
Waambie wamuone Mondi, mtoto wa Tandale kwa Ali Mauwa atawapa wanachotaka[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Sasa kawasaidie hawa wahusika kuhusu kero yao hiyo.
Wakati huyo mondi kashindwa kumzalisha huyo mlalamikaji, au hujaona hiyo sentence.Waambie wamuone Mondi, mtoto wa Tandale kwa Ali Mauwa atawapa wanachotaka[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati huyo mondi kashindwa kumzalisha huyo mlalamikaji, au hujaona hiyo sentence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hata hanijui yaan. Lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unawasiliana naye mwambie anione nimuelekeze mahali sahihi