Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FRANSISCO DOMINGO JOAQUIM huyu jamaa anatokea nchini Angola na inasemekana kua ndie binadamu mwenye mdomo mpana zaidi duniani.Akiachama (kufungua mdomo) upana wa mdomo wake kwenda juu ni 17cm yaani sawa na nusu rula tunazotumia mashuleni zile za urefu wa 30cm.
 
TOM LEPPARD alizaliwa 14/10/1935 na kufa 11/07/2016 aliwahi kutajwa na kitabu che rekodi za dunia (Guinness world record book) kama binadamu mwenye tatoo nyingi zaidi.Lengo lake la kujichora tatoo ilikua na kuufanya mwonekano wake ufanane na chui ni Mmamrekani.
 
Mwaka 2002, Fujitsu walianza kutengeneza za mkononi zinazoitwa iPAD, 2010 Apple wakatengeneza iPad. Kutokana na majina kufanana ilibidi Apple wanunue haki ya jina kutoka Fujitsu kwa dola milioni 4.
Mwaka 2018, Apple waliingiza zaidi dola bilioni 18.8 kupitia mauzo ya iPad pekee.
 
Laptop bora zaidi kwa mwaka 2020;

1. MacBook Air (Late 2020)
2. Hp Envy x360
3. MacBook Pro 13 (Late 2020)
4. Dell XPS 13 2-in-1
5. Dell XPS 13 (Late 2020)
6. Asus ROG Zephyrus G14
7. MacBook Pro (16-inch 2019)
8. HP Elite Dragonfly
9. Lenovo Chromebook Duet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…