Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na jambo hilo kama hilo linaweza kuwakumba pia Manchester United kupitia kwa mastaa wao Bruno Fernandes, Edinson Cavani na Alex Telles huku Manchester City itakuwa kwenye wakati mgumu wa kuwakosa mastaa wake Ederson, Ruben Dias na Gabriel Jesus.
 
Hali ni mbaya sana duniani kote na tunapoandaa mechi za timu za taifa tunaamini zitawapa faraja watu. Lakini, kila kitu kitafanyika kwa kuzingatia afya. Tuna kanuni zetu na tutazifuata. Tutafuatilia hali ilivyo ndani ya wiki chache zijazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…