Chini hapo ni maiti ya Farauni (Farao)Laana ya Mungu iwe juu yake.
Kwa mujibu wa mafundisho maiti hiyo ilikaa baharini kwa miaka 3,000 bila kugusawa na viumbe wa baharini ili lengo la Mwenyezi liweze kutimia.
Hivi leo maiti yake imewekwa makumbusho ili watu wamuone mtu huyo aliyekuwa na kiburi mbele ya Mola wake.
"Leo tutaupoa mwili wako (kutoka baharini) ili iwe ishara kwa wale walio nyuma yako"
Qur'an surat Yunus 10:92