BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Niliona ligi mbili alizokuwa anapambana nazo simultaneously. Pengine ni moja kati ya hizo au zote mbili. Mods mwachieni Esta wetu bana [emoji51][emoji51]Kafanya kosa Numbisa? It is more than a week now? [emoji15]
We si unajiitaga kibonge? Kumbe ni kimbaumbau...Leo hatimaye umesema ukweli ![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtuacheee
Niliona ligi mbili alizokuwa anapambana nazo simultaneously. Pengine ni moja kati ya hizo au zote mbili. Mods mwachieni Esta wetu bana [emoji51][emoji51]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi huwa sieleweki msukumaWe si unajiitaga kibonge? Kumbe ni kimbaumbau...Leo hatimaye umesema ukweli !
Na mimi nakazia afunguliwe numbiBAN ya wiki inatosha kabisa. Maxence Melo mfungulie Numbisa tafadhali.
We si unajiitaga kibonge? Kumbe ni kimbaumbau...Leo hatimaye umesema ukweli !
Nitaelewa siku nitakayokutia jichoni japo unanikwepaga kama ukoma !!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi huwa sieleweki msukuma
Mtoto cheupe wa Kitanga akose chura amerogwa? Nasikiaga tu kuwa kafungasha balaa...[emoji3]Ila chura ipo ya kutosha tu. [emoji39][emoji39][emoji39]
Ili tuendelee tunahitaji mambo 4.....Wanazidi kubana usajili wa makampuni. Hii inamsaidia nani? Yaani ukienda Brela hata mwaka utamaliza unazungushwa. Utopoloooo [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1703144
Nani huyo mwenye churaIla chura ipo ya kutosha tu. [emoji39][emoji39][emoji39]
Yes. This vaccine is a game changer. Na Waisraeli wameamua kabisa kabisa kuchanja kila mtu na kuwa mfano wa taifa la kwanza kuushinda ugonjwa huu kupitia chanjo.
View attachment 1703134
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitaelewa siku nitakayokutia jichoni japo unanikwepaga kama ukoma !!!
Nani huyo mwenye chura
Jamani picha ya nini tena
Chura wangu ananitosheleza mwenyewe na mwili wanguMrembo Shunie.
Dah wananisingizia sina hata chura nipo kama wahindiMtoto cheupe wa Kitanga akose chura amerogwa? Nasikiaga tu kuwa kafungasha balaa...[emoji3]