Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nick Minaj na Baba yake. Juzi Ijumaa Jamaa kamgonga na gari akiwa anatembea na miguu New York kisha akakimbia na Baba Nick aliwahi kufikishwa hospital lakini alifariki baada ya muda mchache. Haijulikani kama alikuwa targeted au ni ajali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…