moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atukinge na homa kali [emoji120][emoji120]
Hapa Mbigiri Morogoro mambo ni shwari[emoji2937][emoji2937]View attachment 1709140
Jioni iwe njema na ya amani
Poleni mnaoendelea na kazi..
Poleni wa sokoni na dukani..
SawasawaJioni njema View attachment 1709175