Papa Mkubwa mweupe ni samaki aina ya EPIPELAGIC ambae anaonekana hasa Kwenye maeneo ambapo kuna, FUR SEALS (mihuri ya manyoya), SEA LIONS (simba wa baharini), CETACEANS (mamalia wa baharini),papa wengine na sehemu ambazo jamii za samaki wa samaki wenye mifupa hupatikana pia hupatikana katika bahari za wazi zenye kina kuanzia futi 3,900.