Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miaka ya 1960's, Nchi ya Zambia nayo ilikua ikipambana na Marekani pamoja na Urusi ili iwe nchi ya kwanza ulimwenguni kupeleka binadamu kwenye mwezi. Ukiachana na sababu kama za ukosefu wa fedha lakini sababu nyingine ilikua ni mtu aliyechaguliwa kwaajili ya safari hiyo, Martha Mwanga ambae alikua na miaka 16 kupata ujauzito.
 
Miaka ya 1960's, Nchi ya Zambia nayo ilikua ikipambana na Marekani pamoja na Urusi ili iwe nchi ya kwanza ulimwenguni kupeleka binadamu kwenye mwezi. Ukiachana na sababu kama za ukosefu wa fedha lakini sababu nyingine ilikua ni mtu aliyechaguliwa kwaajili ya safari hiyo, Martha Mwanga ambae alikua na miaka 16 kupata ujauzito.
 
Vijana wawili kutoka Kenya wote wanasoma Chuo walifanikiwa kuidukua benki ya NCBA na kuiba Tzs Milioni 528. Walikamatwa pale walipojaribu kutaka kuiba tena kwenye benki hiyo hiyo Tzs Bilioni 04, Mmoja wao aliwahi kuiambia benki hiyo kupitia Twitter kuwa mfumo wao ni dhaifu mno.
 
Ol Jogi Conservancy Nanyuki, Kenya kwa usiku mmoja tu utalipia Tzs Milioni 104. Utapata nafasi ya kipekee ya kuona wanyama kwenye zaidi ya heka binafsi yenye ukubwa wa Km 242.8. Ukiwa hapo haruhusiwi mtu mwingine yeyote kuingia mpaka muda wako wa kuwa hapo umalizike.
 
Mohammed Salah ndiye mchezaji ghali zaidi kwa Africa akiwa na thamani inayofikia Tzs Bilioni 284.7.
 
Mvuvi kutoka Nigeria alifanikiwa kumpata Samaki aina ya Blue Marlin ambae ana thamani ya Tzs Bilioni 06 kama utaamua kumuuza, Yeye pamoja na wanakijiji wenzake waliamua kumla.
 
Kipindi anasoma Shule na baadae Chuo, Barack Obama alisifika sana kwa uvutaji wa Bangi. Wenzake walimpatia jina la utani walikua wanamuita "Barack Oganja"
 
Tafiti: Ukizama kwenye mapenzi (Fall in Love), Wastani unapoteza marafiki zako wa karibu wawili. Sio kwa kufa, Bali urafiki wenu unapungua kwa kiasi kikubwa.
 
Njaa inaongeza hasira zaidi." Chakula ndiyo nishati ya mwili, Inapokosekana mwili huanza kuzikumbusha sehemu muhimu za mwili kama ubongo na moyo kwa kuzivuruga utendaji kazi wake na ndiyo maana kwa watu wengine hushindwa kufanya kazi yoyote wakiwa na njaa
 
WANAUME WA AFRIKA.!
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
 
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).
 
4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).
 
5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).
 
6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").
 
7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.
 
8. Wanaume washamba zaidi Afrika - WaEritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza)
 
9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…