Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
[emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni
Poleni wa sokoni na dukani...
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Jioni iwe njema na ya amani
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Ukipenda likes...
[emoji818][emoji818][emoji818]Likes yako ni muhimu......
Duuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekula mabilioni bila kujua.[emoji1787][emoji1787]Mvuvi kutoka Nigeria alifanikiwa kumpata Samaki aina ya Blue Marlin ambae ana thamani ya Tzs Bilioni 06 kama utaamua kumuuza, Yeye pamoja na wanakijiji wenzake waliamua kumla.
Duh.. na ungo au...Miaka ya 1960's, Nchi ya Zambia nayo ilikua ikipambana na Marekani pamoja na Urusi ili iwe nchi ya kwanza ulimwenguni kupeleka binadamu kwenye mwezi. Ukiachana na sababu kama za ukosefu wa fedha lakini sababu nyingine ilikua ni mtu aliyechaguliwa kwaajili ya safari hiyo, Martha Mwanga ambae alikua na miaka 16 kupata ujauzito.
Wavuta bangi wanajua kuongoza bhana[emoji849]Kipindi anasoma Shule na baadae Chuo, Barack Obama alisifika sana kwa uvutaji wa Bangi. Wenzake walimpatia jina la utani walikua wanamuita "Barack Oganja"
AiseeOl Jogi Conservancy Nanyuki, Kenya kwa usiku mmoja tu utalipia Tzs Milioni 104. Utapata nafasi ya kipekee ya kuona wanyama kwenye zaidi ya heka binafsi yenye ukubwa wa Km 242.8. Ukiwa hapo haruhusiwi mtu mwingine yeyote kuingia mpaka muda wako wa kuwa hapo umalizike.
Labda alivunja mapemaDuh.. na ungo au...
Safiii[emoji120][emoji120]View attachment 1723898
Wavuta bangi wanajua kuongoza bhana[emoji849]
🤣🤣Labda alivunja mapema