🎶🎶🎶Jirani jirani yangu ee nimekukosea Nini jiran ee🎶🎶🎶kila ninachokuomba jirani ee 🎶🎶🎶mwenzangu wanikatalia🎶🎶🎶Kila unachoniomba jirani ee Mimi ninakupatia🎶🎶🎶🎶Sasa nikueleweje jirani ee Sasa nikueleweje mwenzangu ee🎶🎶🎶🎶🎼
Paris St-Germain wanafuatilia hali ya Cristiano Ronaldo huko Juventus na kuangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa Ureno, 36, ikiwa ataamua kuondoka Turin. (Le Parisien - in French)
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 33, atacheza misimu miwili zaidi barani Ulaya kabla ya kujiunga na Inter Miami ya MSL, huku uwezo wa mchezaji huyo kuendelea kusalia Barcelona hata baada ta msimu huu ukibashiriwa kuwa kwa asilimia 50 - 50. (Cadena Ser - in Spanish)