Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chelsea inamnyatia winga wa Bayern Munich raia wa Ufaransa Kingsley Coman, 24, kama mwenye uwezekano wa kuchukua nafasi ya Christian Pulisic, wakati ambapo mchezaji huyo wa miaka, 22, raia wa Marekani ameonesha kuwa anataka kuondoka Stamford Bridge. (Mail
 
Ajenti wa Gianluigi Donnarumma, Mino Raiola inasemekana kwamba alianza mazungumzo na Chelsea na Manchester United kuhusu mlinda lango huyo wa AC Milan, 22. Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia aliye San Siro utamalizika msimu huu. (Transfer Window Podcast, via Football London)
 
Kiungo wa kati Manchester United Nemanja Matic, 32, amesema atafikiria kurejea Benfica ikiwa kuna atakayemuhitaji, ingawa mchezaji huyo wa kimataifa wa Serbia anasisitiza kwamba ni mwenye furaha Old Trafford. (Sport TV, via Sun)
 
Wolves ina nafasi ya kufanya majadiliano ikiwa itaamua kufikia makubaliano ya kudumu na mshambuliaji wa Brazil Willian Jose,29, ambaye yuko kwa mkopo kutoka kwa Real Sociedad, beki wa Ufaransa Rayan Ait-Nouri, 19, ambaye yuko kwa mkopo kutoka kwa Angers, na kiungo wa kati wa Ureno, Vitinha, 21 kutoka Porto. (Express and Star)
 
Joan Laporta, ambaye alitajwa kama rais wa Barcelona kwa mara ya pili baada ya kushinda uchaguzi wa klabu hiyo Jumapili, amesema kuwa anataka kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, na atukuwa mlengwa wake mkuu katika kipindi cha msimu. Laporta anataka Barca iwe na raia huyo wa Norway na Lionel Messi, ambaye mkataba wake unamalizika msimu huu. (Diario AS - in Spanish)
 
Channel ya Mwalimu Mwakasege huko Telegram baada ya kufunga magroup yote ya WhatsApp [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…