Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwann kafunga magrup?
 
Kwann kafunga magrup?
Kwa sababu wafuasi walikuwa wengi na ilibidi awe na magroup karibia 100. Uendeshaji wake ulikuwa mgumu. Telegram super group unaruhusiwa kuwa na members mpaka laki mbili+. Ili kurahisisha uendeshaji naona ameamua kuwa na group moja tu. Smart move [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Aah sawa
 
Heri kumpa jirani kuliko kioze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Those ole good days
Naam! Those were the days wallahi mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai...

Enzi zile Carba na kijana mpole wameumana.

SYB na Jakitoo moto umewaka.

Mzee wa fenesi na saksafoni lake....oh Those were the days [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…