Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Matokeo ya tangawizi za Corana mwaka jana ilikua neema kwa wanaume wa Dar😅Kwa maana nyingine huongeza nguvu za kiume... Yaani uume unasimama kwa muda mrefu kutokana na mzunguko mkubwa wa damu kwenye mishipa ya uume.
Utasema nimezidisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]awesome
Heewaaaaaaa kwa sauti ya carba.
Mpendwa pole kwa msibaAiseee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hamna unatoa elimu safi kabisaUtasema nimezidisha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umaarufu wa tangawizi uliupiku wa pweza [emoji3][emoji3]Matokeo ya tangawizi za Corana mwaka jana ilikua neema kwa wanaume wa Dar[emoji28]
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120][emoji120]
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
AminJioni iwe njema na ya amani
AminMungu atukinge na Corona...