myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jirani...
Labda zipo kila mkoa,si unajua hapo ni makao makuuNaomba kujuzwa gari inayotumika kubeba mwili wa mpendwa wetu JPM nimeona tayari ipo dodoma na zile gari zingine
Zimefika dodoma kwa kuendeshwa au kubebwa(zipo mbili za rangi nyekundu zinafana)
Ooh!!labda zipo kila mkoa.Labda zipo kila mkoa,si unajua hapo ni makao makuu
Ooh!!labda zipo kila mkoa.
Sijui na mwanza zitakuwepo
Vipi kwema lakini mkuu
Mzima mimi sana tu mkuuKwema kabisa mkuu. Mzima?
Kwa sababu zenji itakuwepo hio ya dom inaweza safirishwa kuja huku
Nipo huku kiongozi.Umejichimbiaa huku
Swalama kabisaNipo huku kiongozi.
Vipi Kwema