Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndicho kinachowamaliza kibiti
Asante sana Mwenye Enzi Mungu aendelee kukufungulia my dear! Believe me nilikuwa na nymba Kigamboni ya ufukweni! Mbele ya nyumba kukawa na MIKOKO, hivyo nilikuwa siioni bahari! Nikaamua kuipiga kiberiti!
Yaaala nakwambia ilibidi niuze ile nyumba walahi! Maana kila niganyalo haliendi!
Miti huwa inatushtaki kwa MAULANA MOLA WETU nasi tunapata adhabu kwa ajili ya kutoitunza misitu! Wenzetu huwa wanaithamini miti na misitu kwa ajili ya baraka!
Kata mti panda miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…