Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asee, nimesoma huo uzi pamoja na maoni ya watu, nimesikitika sana.
Miaka mitano ilikuwa migumu mno[emoji849]
 
Hata hivyo tulillalamika sana ila kuna watanzania wenzetu walidai tumezoea wizi sasa tumebanwa.
Kulikuwa na vigenge vya watu wenye wivu waliungana na dola kutuumiza
 
Huo ndiyo ukweli Mkuu. Wafanyabishara wameumizwa sana kwa miaka mitano iliyopita na hao waliohamia nchi jirani natumai hawatakurupuka kurudi kwa hizo ahadi hewa.
Hata hivyo tulillalamika sana ila kuna watanzania wenzetu walidai tumezoea wizi sasa tumebanwa.
Kulikuwa na vigenge vya watu wenye wivu waliungana na dola kutuumiza
 
Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu. Ametunusuru mengi sana kutoka kwa huyo dhalimu. Wengi tulionekana wachochezi, tunaotumiwa na MABEBERU, tuliokosa uzalendo, tuliokuwa majizi jiwe alitubana yote hayo hayakuwa na ukweli hata chembe bali ni kupinga mfumo wa kidikteta uliojaa udhalimu na dhuluma za kutisha sana.
Asee, nimesoma huo uzi pamoja na maoni ya watu, nimesikitika sana.
Miaka mitano ilikuwa migumu mno[emoji849]
 
Perfection from this side of the planet 😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…