moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni sana..
[emoji120]Poleni wakulima wote...
[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]
Viongozi wa Wenzetu wanawathamini matajiri ili kuimarisha nchi zao kiuchumi, huku kwetu tajiri ni sawa na mkwepa kodi, dawa yake ni kumteka, kumtesa, kumuumiza.Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amemteua mfanyabiashara kijana nchini, Mohamed Dewji (Mo) kuwa kwenye jopo lake la watu watano kumshauri kuhusu masuala ya uchumi na uwekezaji.
Dewji, ambaye hivi karibuni Jarida maarufu la Forbes limemtaja kuwa bilionea kijana wa 13 kati ya 18 barani Afrika, ameingia kwenye jopo hilo ambalo lengo ni kupanga mikakati ya namna bora ya kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya Afrika Kusini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana KiongoziGr8 Mkuu nimefurahi kukuona jukwaani kitambo sana
Safii[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1746209
Mama akimchekea huyu atamvurugia serikali yake.
Mama akimchekea huyu atamvurugia serikali yake.
Viongozi wa aina hii wanatakiwa wafutwe kazi mara moja kisha unamkabidhi kwa DCI ashughulike naye