myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Alipindua nae akapinduliwa....Ni muhimu sana kuwa wasikivu pale tunapoambiwa jambo lolote na mtu yeyote, you never know anaweza kuwa malaika wako amemtuma kukupa ujumbe.
Huyu Jamaa kifo chake kilipangwa na best friend wake,watu walimwambia,ila hakuwapa nafasi ya kuwasikiliza.
Kisa anamuamini rafiki.View attachment 1746803