Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Adam Rainer ndie mtu pekee anayefahamika mpaka sasa kuwa alizaliwa mfupi (dwarf) baadaye akawa mrefu.

Adam Rainer alizaliwa akiwa mfupi mpaka anafikia miaka 18, alikuwa na futi 4 alipofikisha umri wa miaka 20 alitokwa na uvimbe karibu na pituitary gland iliyompelekea kizidi kurefuka kila kuchwao mpaka anafika miaka 30 urefu ulikuwa futi 7'2 (218cm).

Alifariki 1950 akiwa kati ya urefu wa futi 7'8 (234cm) hadi 7'10 (239cm).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…