myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wana Siasa na wasaniiiVijana acheni utotoView attachment 1756603
Mbona siku hizi mabeberu hawatugombezi wala kulalamika hatuvai barakoa?Rais Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mwakilishi mkaazi wa Benki ya Dunia ikulu Dodoma.View attachment 1756595
Perez muharibifu anachojali pesa tu.
AminTuwe na jioni njema na ya amani..
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wagonjwa wote Mungu awaponye [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni sana..
Pongezi zimfikie fundi ambaye anamshonea nguo.Mbona siku hizi mabeberu hawatugombezi wala kulalamika hatuvai barakoa?
Ila Mama Samia anajua kuvaa jamani. Halafu napenda alivyoikaushia korona
Pongezi zimfikie fundi ambaye anamshonea nguo.
Kitenge dear hakimkatai mtu hasa upate mshonaji anayejua kushona vizuri lazima ukivaa upendeze.Fundi anampatia kweli kweli.
Huwa naangalia channel ya hausa (dstv)wanawake wa mule baadhi wanapendeza kama Mama Samia. Very smart