moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dooh🙄Wao ndiyo walio rekodi sex video wakivunja amri ya 6 na mmakonde.
Wao ndiyo ambao waliuza hizo video kwa wabaya wa mmakonde.
Sehemu ya faida waliyopata kwa kuuza video za tupu zao ndizo walizotumia kwenda kupumzika Dubai.
Shwaini hawa acha wakapumzike Segerea ili wajifunze kitu
View attachment 1758542
😂😂😂Maama I love you.View attachment 1758555
[emoji23][emoji23][emoji23]Dooh[emoji849]
Mbunge wa ajabu sana...wapunguze posho zao..Upuuzi mtupu.
Kwanini usikatwete 30% mshahara wako na wabunge wenzako kama kodi ya kizalendo?
Kwanini msifute posho ya kikao ?
Kwanini msipunguze mishahara yenu mikubwa?
Kwanini msifute kiinua mgongo mnachopata?
Hivi vyote ni mzigo kwa wananchi hawa masikini, bado mnataka kuwapora mawasiliano kwa kuwawekea kodi za ovyo
Huyu timamu kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mgomvi wake hayupo tena.