Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko, unajua kwanini nakupenda sana?
Tabia yako ya kujitoa kwa kusaidia wenye uhitaji ndio inakufanya uwe wa pekee kwangu.Wewe sio tajiri kutuzidi sisi ila una vitu (upendo) kutuzidi sisi.
Kuna muda nikikukuta kwenye ligi za akina Zari au sijui WCB najikuta naumia,kwanini? Ni vile ulivyo mpole na hujui kuongea zaidi ya muda mwingi simu mkononi, najiwazia mara paaap....uso kwa na Juma Lokole, Anko wangu hutatamka hata neno moja la kujitetea kwa upole wako.... Mshipa wa uzazi una kakamaaa kwa maumivu makali.

Najua unanipenda ndio maana unanihangaikia,niseme nini mimi juu yako?

Ahsante sana Anko,upo kwenye maombi yangu miaka yote.
Sijajuta kukufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…