danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
DodoShavu
Yule demu anayegombewa na uniqSema mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzima kabisa
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] eeeee????Kwa kwel sasa nmenasa sina ujanja eeeehh
Kupenda sawa na ajal hainakinga eeehh
Nilivyomhusudu mtoto numbisa sijapata kupenda toka nizaliwe ehhh
Nasinto penda mpaka nife numbisa eeeh
Nasononeka mama ehh
Ninateseka mamaa ehhh
Nmezama kwenye dimbwi la mapenz.
Yes1 hr ago mango833
Haya utatukutaMi naaga nitarudi baada ya misa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] bi Aish.....Umeshapata tawi la kutuwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante sana babe s kwa kunitumia pesa 100,000 kwa kuonesha upendo wako kwangu!
Nina uhakika hutojuta kuwa nami, nakuahidi Najitunza kwa ajili yako!
Fine and youMorning mkuu