moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kenyatta huyoooo katupiga bao. Hii inaweza kuwa mwanzo wa Wafanyakazi na Wafanyabishara wengi wa Kitanzania kutimkia Kenya kukimbia kodi kubwa na pia Kenya’s currency is stronger than Tshs
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wakulima wote poleni sana....
Mzee yupi huyo kiongozi