Winga wa timu ya taifa ya England na klabu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho, 21, si mchezaji wa kipaumbele cha usajili kwa klabu ya Manchester United - na kuibuka kwa mchezaji Mason Greenwood ni moja ya sababu ya United kufikia maamuzi hayo. (Manchester Evening News)