Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwani wanatoa kwa yeyote, nadhani kwa raia tu.si ana hela huyu si akaifate hata kenya hapo
mbona mbowe kachanja,pesa yako tu unachanjaKwani wanatoa kwa yeyote, nadhani kwa raia tu.
Labda baadhi ya nchi za Ulaya.
Na sasa kuingia huko kama hujachanja ni mtihani
inawezekana vipi huyu jamaa kuwa na miaka 24?Klabu ya Tottenham Hotspur inapanga kumuuza beki wa kati wa Colombia Davinson Sanchez, 24, mwishoni mwa msimu. (Football Insider)