Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
inawezekana vipi huyu jamaa kuwa na miaka 24?
faida moja ya umasikini ni kuwa na mzigo mzito wa umri.
mpemba amzidi sanchez umri
View attachment 1781811
usiwaamini sana wahuni wa amerika ya kusini, wengi wao ni wadanganyifu wa umri.Samatta tu funga kazi ati ana miaka 28 huko sio 34 au 35. ila huyu inawezekana ni mwili tu unambeba umri ukawa huo
wow nilidhan wazungu hawadanganywi si huwa wana vipimo vizuriusiwaamini sana wahuni wa amerika ya kusini, wengi wao ni wadanganyifu wa umri.
hapo kwenye kudanganywa au kutodanganywa sina ufahamu, nachoamini laiti ingelikuwepo mashine yenye uwezo wa kudetect umri halisi wa mwanadamu basi wachezaji wa kiafrika wengi na waamerika ya kusini wangelikutwa na kashfa ya udanganyifu wa umri.wow nilidhan wazungu hawadanganywi si huwa wana vipimo vizuri