Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
nasubiria zamu ya dae kujiita ole gunnar solskjaerinawezekana vipi huyu jamaa kuwa na miaka 24?
faida moja ya umasikini ni kuwa na mzigo mzito wa umri.
mpemba amzidi sanchez umri
View attachment 1781811
kuwa mvumilivu Agassi, kila jina litatembea kwenye hii account.nasubiria zamu ya dae kujiita ole gunnar solskjaer
kuwa mvumilivu Agassi, kila jina litatembea kwenye hii account.
ila sitojipa jina la kisukuma
ahjussi, sunbaenimusisahau zamu ya Oppa
shijjaaaaaa (niliwahi kusoma na jamaa mwenye jina hilo chuoni, baadae alikacha na kurudi kwao bara, alikuwa muungwana sana)Jamani wasukuma wamekukosea nini hebu fikiria majina matamu kama mabula,maige,shija unayaachaje kwa mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule Mtu Wa Clouds Tv Aliyekua Anamuhoji Dc Kafanana Na Ndugai Kilakitu Kwanzia Ufupi, Weusi Hadi Ujinga...