Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapotaka kuonyesha mfano lazima uwe siriazi kidogo...Na wasaidizi wake walipaswa kumrekebishia hiyo barakoa kama mwenyewe alijisahau!

Sasa inaweza kwenda viral mitandaoni humu na memes za kila aina...
😂😂😂😂😂corona inatuumbua sana kwenye uvaaji wa barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…