Malchiah
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 1,959
- 20,733
Mambo ya mwendazake kujifanya jiwe kumbe muoga kupindukia!!! Gari hili lina gharama kubwa sana sasa litaishia kuwa museum kwani mama sidhani kama ana mpango wa kulitumia.
Hivi CDM huwa hakuna hoja nyingine za kujadili zaidi ya kuijadili CCM na mwendazake???
Nani alikwambia tuna upinzani Tanzania?Hivi CDM huwa hakuna hoja nyingine za kujadili zaidi ya kuijadili CCM na mwendazake???
Tuna upinzani wa hovyo sana Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi 2025 wanaenda na mama??Nani alikwambia tuna upinzani Tanzania?
Acha waendelee kupambana na marehemu na kumsifia mama wakija kushtuka vu bin vu 2025 hii hapa hakuna katiba mpya, hakuna tume mpya ya uchaguzi wanapigwa tena wanaanza kuimba mapambio yale yale ya miaka nenda miaka rudi ya kuibiwa kura. Kwa upinzani wa aina hii CCM itatawala milele na milele!
Historia, hata hivyo, inaonyesha kuwa huwa kunakuwa na pandemic kila baada ya miaka 100. Na kama ilivyo kawaida, wazee na wenye kinga dhaifu ndiyo huangamia. Sioni jipya kwa huyu mtabiri.Utabili kuhusu COVID-19View attachment 1796983
πππππππππeti la zali la mentaliZali la mentali [emoji23]View attachment 1797400