Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

INRI: Iesus Nazarenus Rex Iudaeorum. Hayo ni maneno ya kilatini yenye maana 'Jesus of Nazareth, King of Jews' yaani Yesu wa Nazareti mfalme wa wahayudi. Maneno hayo yaliandikwa katika kibao kilichopigiliwa kwenye msalaba aliosulubiwa Kristo mnamo milenia mbili zilizopita.
 
HONEY GUIDE ni ndege ambaye anakuelekeza asali ilipo.Masai wanaotafuta asali porini hupiga mluzi kumuita Honey guide.nae hutoa ishara ya sauti na kuruka mti Hadi mti kukuonyesha nyuki walipo ili utoe asali.Honey guide hana uwezo wa kutoa asali bali anakuonyesha ili ukitoa umewekee Sega nae ale kwasababu anapenda Sana mayai ya nyuki na watoto wa nyuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…