Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu.
✓Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huenda una shida kwenye kibofu chako cha mkojo.

Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugonjwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…