Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Rava4?TOYOTA IST - Ni kifupisho cha mwisho kutokana na maneno ya mwisho kama stylist , artist nk . ambao ni watu wenye shauku na kitu Fulani .
😂😂😂 so hili ni la wanawakeTOYOTA NOAH - limetokana na neno la kijapani sauti nyororo, ya kuburudisha .
😂😂😂😂mie sijasema😂😂😂 so hili ni la wanawake
Ndio tumeshapata shule hapa! Ful kutania wenye sauti nyororo wanayoyaendesha sasa!😂😂😂😂mie sijasema