Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wananifurahisha sana kulikuwa na ile kura nadhani kuhusu Rais bora wa Africa. Twitter Republic wakaamua apewe Rais wa Ghana Nana Akufo na kweli akashinda MATAGA pamoja na juhudi zao za kukesha usiku hawakufua dafu yule mwendazake hakuambulia kitu. DP ana kazi ngumu sana kushinda.
Nimeona jamhuri ya twitter imeamua kuwa watampigia Burna boy nimecheka maana twitter wakikomaliaga kitu jamani 😂😂
 
Akaendelea kusema kuwa bendera zote mbili lazima ziondolewe…Kwa kuzingatia kuwa hakukuwa na tamko la ndani [kutoka upande wa Zanzibar] au juu ya uhusiano wa Mkello na Mawaziri wa Tanganyika, sishadidii sana ichukuliwe hatua yoyote, na nitakuwachiya wewe uamuwe kama kutapatikana faida yoyote kuifikisha taarifa hii kwa Serikali ya Tanganyika.” Barua kutoka kwa George Mooring (Balozi wa Uingereza Zanzibar) kwa F. S. Miles (Balozi wa Uingereza wa Tanganyika), tarehe 26 June 1963. CO 822/3204 116805
 
Kwa nini huku visiwani hakutulii kama tulivokusudia sisi? Inaonekana kuna maneno, maneno, maneno…Tulidhani sisi muungano huu umekubalika pande zote mbili bila ya tatizo lolote. Mimi hili suala tulitaka kujuwana wakati ule tuna msimamo wa namna gani ambao tungekubaliana nao. Mimi nikianzisha wangu nnaoujuwa na wewe wako unaoujuwa…
 
…Tulidhani kule kwenu Zanzibar juu ya vikundi vote vilokuwa mbali mbali hatimaye tutakuwa kikundi hiki “kimoja.” Bas! Tunajenga nchi yetu. Aliekufa, aliepona, bahati yetu, kazi ya Mungu. Lakini sasa tunachotaka sisi ni kitu kimoja. Asiingie mtu mwengine akasema mimi naleta Uarabu, mimi naleta…ah, ah! Hakuna. Tukae, tuzungumze, tukubaliane, kwamba sasa kama ikiwa kuna haja ya kujenga nchi yetu tukae basi tuijenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…