Hupunguza lehemu (cholesterol) mwilini
Kiwango cha mafuta ya lehemu kikizidi ni hatari kwa ajili ya afya ya moyo.
Na ndio maana tunda aina ya embe ni muhimu sana kwa afya zetu
"Naagiza chanjo ili tuwachanje Wazanzibari, hulazimishwi kuchanjwa, kwahiyo yale maneno eti chanjo ina madhara muyaache"---Hussein Ali Mwinyi rais wa Zanzibar
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation. Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi. Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda...