ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Safii
Hongereni wakulima wote..
Jioni iwe njema na ya amani..
Mungu atupe afya na uzima [emoji120]
Poleni wagonjwa wote,Mungu awaponye [emoji120]
Wasafiri mfike salama..
Wa daladala na bajaji uangalifu muhimu sana njiani..
Poleni wa sokoni na dukani..
Mnaoendelea na kazi poleni..
Mliotoka kazini poleni sana..
Poleni walezi wa familia zetu..
Wangapi mliikuwepo Duniani wakati huo?View attachment 1808972
Kumbe huyo ndo Musiba.... hiiiiiiiiMama Mkapa na dhalimu Musiba.
Sabaya jana wamechungulia jicho