Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool wanataka kumuuza kiungo wa kati wa Serbia Marko Grujic msimu huu. Hertha Berlin, ambako mchezaji huyo alikuwa kwa mkopo kati ya mwaka 2018 na 2020, sasa wanataka kumnunua baada ya bei yake kushuka hadi euro milioni 14 (Β£12m). (Berliner Kurier, in German
 
Kiungo wa kati wa Barcelona na Bosnia Miralem Pjanic, 31, huenda akajiunga tena na Juventus msimu huu wa joto baada ya kufanya kujadiliana na Massimiliano Allegri, ambaye anatarajiwa kuchukua usukani baada ya Andrea Pirlo kupigwa kalamu. (Calciomercato - in Italian)
 
Bayern Munich wanajiandaa kumsajili kiungo wa kati wa Atletico Madrid na Uhispania aul Niguez, 26, kwa kima cha euro milioni 80 (Β£68.7m) baada ya Rodrigo De Paul, 27, ambaye walikuwa wakimnyatia kupigiwa upatu kujiunga na klabu na mabingwa hao wa La Liga (Radio Marca
 
Ubongo wa binadamu una kadiriwa kuwa na ukubwa unaofikia mpaka 2.5 Petabytes, Kama ingekua kuingiza na kutunza vitu unaweza rekodi vipindi vya televisheni kwa saa zaidi ya milioni 03.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…