Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Endapo Ronaldo atahama Juve, Mbrazil Gabriel Jesus ,24, wa Manchester City anapigiwa upatu kuongoza katika orodha ya wachezaji watakaochukua nafasi yake. Wengine ni mshambuliaji wa Fiorentina na Serbia, Dusan Vlahovic, 21, na Muargentina Mauro Icardi, 28, wa Paris St-Germainy. (Gazzetta dello Sport - kwa Kitaliano)
 
Everton wamemhoji kocha wa zamani wa Wolves Nuno Espirito Santo, 47, kuhusu uwezekano wa kumrithi Carlo Ancelotti kama meneja wa klabu hiyo baada ya Mtaliano huyo kujiunga tena na Real Madrid. (Football Insider)
 
Chelsea wameongeza juhudi za kumsaka mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kutoka Borussia Dortmund,"wanaamini" watafanikiwa kumpata nyota huyo , kwa mujibu wa mshambuliaji wa zamani wa Ligi ya Primia Mjerumani mwenzake Jan Aage Fjortoft. (Mail
 
 
 
waaow ndoto yangu hio
Una ndoto ya kupata watoto 10 kwa wakati mmoja!!!?
[emoji849][emoji849][emoji849]

Watoto 10 kwa wakati mmoja si jambo dogo, ni mchakato wa kutisha.
Kufa hautakufa ila cha moto utakiona.

Usiombe jambo la aina hiyo tafadhali,
Muombe Mungu akujaalie uzae watoto 10 wa kupishana, siyo wa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…